Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akiwa na Viongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kushoto Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Bara Mhe Mhe. Japhet Hasunga na kulia Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Bi. Khadija Bakari na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakielekea katika mabanda ya maonesho ya Vyakula na Vitu vya Urithi wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo katika viwanja vya maisara leo.
UNDP, Serikali ya Uingereza Yawakutanisha Viongozi wa Vyuo Vikuu Kuchochea
Ubunifu na Ujasiriamali Zanzibar
-
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), kwa ushirikiano
na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Chuo cha Indian Institute of
Te...
44 minutes ago
0 Comments