Msimbamizi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Jang'ombe Zanzibar Bi. Mwanapili Khamis akitangaza Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Jang'ombe kwa Waandishi wa Habari na Wawakilishi wa Vyama Vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi huo katika Kituo cha kutangazia matokea katika Kituo cha Skuli ya Sekondari Jang'ombe Zanzibar baada ya kukamilika zoezi la kuhesabu kura. Chama Cha Mapinduzi kimeibuka mshindi kwa kupata Kura 6581.na CUF imepata kura 172, ADA TADEA kura.131, CCK- 73, NRA -62, SAU -53, AFP -58, DP - 73,TLP -71.
TPSC YAWAUNGANISHA WATAALAMU KUJADILI MATUMIZI YA AKILI MNEMBA KATIKA SEKTA
YA UMMA
-
Na Mwandishi Wetu — Dar es Salaam, 12 Februari 2026
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kimeongoza mdahalo wa kitaalamu
uliolenga kujadili matumizi...
2 hours ago
0 Comments