Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Juma Pembe akitowa maelezo Pili wa Rais wa Zanzibar kuhusiana na Kituo cha Elimu ya Amali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balosi Seif Ali Iddi , alipotembelea Kituo cha Amali Vitongoji Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo mbalimbali ilioko Pemba.
Bank of Africa Tanzania yatoa mafunzo kwa Wajasiriamali Dar es Salaam
-
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Biashara wa BoA Bank, Hamza Cherkaoui
akimkabidhi cheti cha shukrani kwa wateja wa SME wa Bank of Africa Tanzania.
Kaimu Mkuu ...
2 hours ago
0 Comments