Video - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Akihutubia Wakati wa Ufungaji wa Mkutano wa Kampeni Viwanja vya Muembematarumbeta Zanzibar
Kwanza nikupongeze kwa kutupa habari sisi tuliopo nje ya nchi. Ila kuhusu siasa Bora usirushe , maana Kama ni wa Chama cha CCM tu, basi Bora uachane nazo kwa maana tuna mfumo wa vyama vingi Kaká yangu. Ahsante ni hayo tu kwa leo.
1 Comments
Kwanza nikupongeze kwa kutupa habari sisi tuliopo nje ya nchi.
ReplyDeleteIla kuhusu siasa Bora usirushe , maana Kama ni wa Chama cha CCM tu, basi Bora uachane nazo kwa maana tuna mfumo wa vyama vingi Kaká yangu.
Ahsante ni hayo tu kwa leo.