6/recent/ticker-posts

Uzinduzi wa Ligi Kuu ya Netiboli Kanda ya Unguja Uwanja wa Gmykhana Zanzibar.

Timu shiriki Michuano ya Ligi Kuu ya Mchezo wa Netiboli Kanda ya Unguja wakipita mbele ya Mgeni Rasmin Mjumbe wa Kamati ya Olimpiki Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Bi. Tabia Maulid, uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar. 






Post a Comment

0 Comments