Mradi wa Ujenzi wa Mitaro ya Maji Machafu katika maeneo ambayo hujaa maji wakati wa kipindi cha Mvua za Masika katika maeneo ya Zanzibar.Tayari tatizo hilo limemepatikana ufumbuzi wake kwa kuendelea na ujenzi huo wa Mitaro hiyo unaofanywa kupita Wajenzi wa Kampuni ya Kichina ya CRJE wakitekeleza ujenzi huo katika moja ya eneo hilo katika sehemu ya sebleni ambalo hujaa maji na kuwalazimu Wananchi kuhama makazi yao.
OSHA INA NAFASI MUHIMU YA KUWEZESHA SHUGHULI CHA UZALISHAJI-KATIBU MKUU KAZI
-
Wajumbe wa Baraza la OSHA wakifuatilia majadiliano mbalimbali
yaliowasilishwa katika kikaocha Tano cha Baraza la Tano la wafanyakazi wa
OSHA kilichofanyik...
6 hours ago
0 Comments