Ujenzi wa Mitaro ya kupitishia maji machafu na ya Mvua katika maeneo mbalimbali ukiendelea na Ujenzi huo katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Unguja. kama inavyoonekana Ujenzi huo ukiendelea katika eneo la mikunguni mtaro huo ukiwa katika uchimbaji huo kuunganishwa na eneo linalokaa maji la sebleni kuungani mtaro huo kuweza kuondoa maji haji hadi pwani ya kinazini.
SIMBACHAWENE-VITAMBULISHO VYA NIDA KUUNGANISHWA NA HUDUMA NYINGINE
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 19, 2025
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema Mkoa wa
Pwani unakua kwa kasi kiuchumi, akisisi...
9 minutes ago
0 Comments