Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa Mradi wa Kwahani Mpya umeaza kwa awamu ya kwanza kusafisha eneo hilo kwa kuaza kwa ujenzi huo wa Nyumba za Kisasa zinazojengwa katika eneo hilo.
Mradi huo ulianza Aprili 2025 na unatarajiwa kukamilika Julai 2026.
-
Kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari
ya Karema kunatarajiwa kufungua fursa mpya za kiuchumi kwa wananchi wa
mikoa ya R...
18 minutes ago


0 Comments