Mshambuliaji wa Timu ya Mundu akijaribu kumpita beki wa Timu ya Ngome wakati wa mchezo wao wa Ligi Daraja la Kwanza uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Mundu imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
TANZANIA NA SOMALIA WASAINI MKATABA MASUALA YA KIUHAMIAJI
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya
Shirikisho ya Somalia wamesaini Hati ya Makubaliano kuhusu masuala ya
kiuhamiaji.
...
57 minutes ago
0 Comments