Mchezaji wa Timu ya Osolo akiwa na mpira akimpita mchezaji wa Timu ya Nyuki wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Karume Cup inayofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Nyuki imeshinda mchezo huo.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
10 hours ago
0 Comments