Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Chilo,akiongozana na Askari wa Uhamiaji leo, wakati wa ziara ya ukaguzi wa nyumba za askari wa uhamiaji (zinazoonekana pichani), zilizopo Wilaya ya Ckakechake, mkoa wa Kusini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akizungumza na viongozi wa juu wa Idara ya Uhamiaji mkoa wa Kusini Pemba leo, wakati wa ziara ya kikazi.Watatu kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Johari Sururu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akisalimiana na Askari wa Uhamiaji baada ya kuwasili Mkoa wa Kusini Pemba leo kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo,akikaribishwa dafu baada ya kumaliza ziara ya kikazi katika Ofisi ya Idara ya Uhamiaji,Mkoa wa Kusini Pemba,leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
TANZANIA NA SOMALIA WASAINI MKATABA MASUALA YA KIUHAMIAJI
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya
Shirikisho ya Somalia wamesaini Hati ya Makubaliano kuhusu masuala ya
kiuhamiaji.
...
5 hours ago
0 Comments