Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mratibu wa Mradi wa ZUSP Ndg Makame Ali Makame na Mkurugenzi wa Baraza la Manispa Mjini Ndg Said Juma Hamad alipotembelea Mradi wa Kituo cha ukusanyaji wa taka kutoka Mjini kilichojengwa katika eneo la Muembemakumbi ikiwa ni Mradi wa ZUSP wakati wa ziara yake ilifanyika leo 9/12/2020.kutembelea Miradi ya ZUSP Zanzibar.
NMB Yakabidhi Vifaa Tiba Vyenye Thamani ya Sh Milioni 15 Kituo cha Afya
Makole Dodoma
-
Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba na mahitaji mbalimbali vyenye thamani ya
sh milioni 15 kwa Kituo cha Afya Makole jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya
mcha...
11 hours ago
0 Comments