Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendekleo ya Makaazi Ndg. Ali Halil Mirza akimkabidhi mfano wa huti Mchezaji Bora wa Mchezo wa Mapinduz Cup Miraji Othman baada ya kuibuka mchezaji Bora katika mchezo wa Timu yake na Chipukizi Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku.,
WANAFUNZI WA MUM WATINGA NBAA KUPATA ELIMU YA UHASIBU
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu/mafunzo kwa Vyuo vikuu pamoja na Shule za Sekondari ikiwa na
lengo...
12 minutes ago
0 Comments