6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Balozi wa Canada Nchini Tanzania.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O' Donnell, ofisini kwa Waziri Mkuu,  Mlimwa jijini Dodoma, Januari 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments