Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa akijumuika na Marais wa Nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakikata utepe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Biashara ya Nchi za Afrika yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ICC Darban Jijini Darban Afrika Kusini.
Je Simba Msimu Huu Ataondoka Kapa Tena?
-
LEO hii Meridianbet tunaangazia klabu ya Simba ambayo imekuwa na mabadiliko
yanayotokea hap na pale huku nafasi ya wao kushinda taji la NBC Premier
Leagu...
19 hours ago
0 Comments