WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la
Wawakilishi, Dk. Khalid Salum Mohammed akizungumza na
Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na maendeleo yaliopatikana
katika miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia wizara yake, mkutano huo
ulifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni.

WAANDISHI
wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa
Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dk. Khalid Salum Mohammed
akizungumza kuhusiana na maendeleo yaliopatikana katika miaka 58 ya Mapinduzi
ya Zanzibar kupitia wizara yake, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Wizara
ya Utalii Kikwajuni.
0 Comments