Mkurugenzi Tehama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Omar S. Ali akiangalia baadhi ya kazi za ubunifu wa tehama zilizofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika maonyoesho ya kwanza ya siku ya UBUNIFU WA TEHAMA yaliyofanyika Ukumbi wa Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar.

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Prof. Mohammed Makame Haji akizungumza na kumkaribisha mgeni rasmi kuhutubia katika maonyesho ya kwanza ya kazi za ubunifu wa tehama huko Ukumbi wa Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar.
Tume ya Uchunguzi yakutana na Waziri Mkuu Mstaafu, Majaliwa
-
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na
baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Leo Februari 6, 2026 imekutana
na Waz...
2 minutes ago
0 Comments