6/recent/ticker-posts

Mhe Othman Masoud ashiriki maziko ya mwanasiasa mkongwe Marehemu Ali Sultan Issa leo

Makamu wa Kwanza wa Rais, Alhaj Othman Masoud ameungana na waumini wa dini ya kiislamu katika sala ya maiti kumsalia mwanasiasa mkongwe Zanzibar, Marehemu Ali Sultan Issa ambae aliwahi kuwa Waziri pamoja na kushika nyadhifa tofauti katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar
 

Post a Comment

0 Comments