BIASHARA ya Kitoeleo aina ya Kamba imekua ni moja ya biashara muhimu kwa vijana katika kipindi, pichani mmoja ya wanunuzi wa kamba akiwapanga katika mfuko wake baada ya kununua kutoka kwa mvuvi, wakati kilo moja huuzwa kati ya 8000/= hadi 10000 na hutegemea na aina ya kamba wenyewe huko katika bandari ya Tumbe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
Wamachinga Dar wakemea uvunjifu wa amani
-
wadai suluhu ya changamoto haitatuliwi kwa uvunjifu wa amani.
Na Mwandishi Wetu
Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Watanzania...
3 hours ago
0 Comments