Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akikabidhi Cheti kwa Mkuu wa Idara ya Ubunifu wa Benki ya NMB Tanzania Josina Njambi na Mkuu wa Idara za Serikali na Ofisi ndogo za Makao Makuu Dodoma wa NMB, Vicky Bishubo kwa kutambua mchango wa benki hiyo kwa kuendeleza shughuli za ubunifu, wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Ubunifu Kitaifa, iliyofanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.Kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na kulia ni Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia-Prof. Adolf Mkenda.
TCAA yawahimiza Wahandisi wa Mitambo ya Kuongozea Ndege kuendelea Kuendana
na Kasi ya Teknolojia
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim
Msangi, amefungua Mkutano wa 26 wa mwaka wa Chama cha Wahandisi wa Mitambo
ya Kuong...
37 minutes ago

0 Comments