Mabingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja kwa msimu wa mwaka 2021/2022 Timu ya Kundemba wakishangilia Ubingwa wao baada ya kukabidhiwa Kombe baada ya kumaliza mchezo wao wa mwisho wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja dhidi ya Timu ya U.Mbuzini kwa ushindi wa bao 4-1 Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja.
MWILI WA MWANAMKE WAPATIKANA UMEFUKIWA NDANI YA NYUMBA YA RAFIKI YAKE KILOSA
-
FARIDA MANGUBE, KILOSA, MOROGORO
HOFU na simanzi vimetanda katika Kijiji cha Changarawe wilayani Kilosa
mkoani Morogoro baada ya mwili wa mwanamke ali...
7 hours ago
0 Comments