6/recent/ticker-posts

Timu ya Kundemba Wameibuka Mabingwa wa Ligi Daraja la Kwanza na Kupanda Ligi Kuu ya Zanzibar.

Mashabidi na Wapenzi wa Timu ya Kundemba wkishangilia Timu yao wakati wa mchezo wa mwisho wa Ligi Daraja la Kwanza kwa kuifunga Timu ya Mbuzini kwa Bao 4-1 mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.





 

Post a Comment

0 Comments