RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (wa tatu kushoto) alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu] 26/08/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian baada ya mazungumzo yao leo alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu] 26/08/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (kushoto) baada ya mazungumzo yao leo alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu] 26/08/2022
EAC : Rais Mhe. Dkt. Samia awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki
katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC).
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu
wa M...
5 minutes ago
0 Comments