Mshambuliaji wa Timu ya Uhamiaji akijaribi kumpita beki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Premier League mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.0-0.
WAWAKILISHI NA WAKUU WA TAASISI ZA UCHUKUZI WAWASILISHA MADA SIKU YA PILI
,MKUTANO WA 18 JTSR-ARUSHA
-
Mkutano wa 18 wa pamoja wa mapitio ya Sekta ya Usafirishaji(JTSR)
umeendelea siku ya pili tarehe 16 Desemba, 2025 katika ukumbi wa AICC
Jijini Arush...
8 minutes ago
0 Comments