Beki wa Timu ya Jangombe Boys akijaribu kumzuiya mchezaji wa Timu ya Raskazone mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar Timu ya Raskazone imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
TANZANIA NA SOMALIA WASAINI MKATABA MASUALA YA KIUHAMIAJI
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya
Shirikisho ya Somalia wamesaini Hati ya Makubaliano kuhusu masuala ya
kiuhamiaji.
...
5 hours ago
0 Comments