Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali katika Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika moja ya mkutano uliojadili masuala ya misitu na Tabianchi katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Misri Abdel
Fattah El Sisi (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio
Guterres (kulia) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano
wa Sharm El Sheikh kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa COP27 unaofanyika katika
Mji huo nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh International Congress Centre
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh International Congress Centre
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi Wakuu wa nchi mbalimbali kabla ya kuanza kwa
Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa
Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi
mbalimbali wanaohudhuria mkutano wa 27
wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi
COP27 unaoendelea katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba,
2022.
.jpg)
.jpg)
.jpg)




0 Comments