Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaaban akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusiana na warsha ya 26 ya utafiti na Sera itakayofanyika Novemba 2-3 katika hoteli ya Golden tulip, iliyoandaliwa na REPOA wakishirikiana na Benki ya CRDB,hafla hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hotel hiyo iliyopo Uwanja wa ndege Zanzibar.FAUZIA MUSSA MAELEZO ZANZIBAR
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments