Balozi wa Airtel Tanzania Lucas Mhuvile almaarufu Joti akipokea Tuzo ya Filamu Bora - Ucheshi (Best Comedy) kupitia Tuzo za Filamu Tanzania 2022 zilizofanyika Tarehe 17 Disemba, 2022 jijini Arusha - AICC. Anayemkabidhi ni Raisi wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Bi. Synthia Henjewele.
UNDP, Serikali ya Uingereza Yawakutanisha Viongozi wa Vyuo Vikuu Kuchochea
Ubunifu na Ujasiriamali Zanzibar
-
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), kwa ushirikiano
na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Chuo cha Indian Institute of
Te...
21 minutes ago

0 Comments