Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Kanda ya Zanzibar Ndg.Khamis Msami akimkabidhi Fedha Taslimu shilingi Laki Tano Mchezaji Bora wa Michezo ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Abdul Mahafudh Mohammed wa Timu ya Chipukizi kuibuka mchezaji Bora wa Mchezo huo kati ya Timu ya Chipukizi na Aigle Noir uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya Bao 1--1.
DKT. MUYUNGI ATETA NA UJUMBE KUTOKA UBALOZI WA UINGEREZA ULIOPO TANZANIA
-
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kulia)
akizungumza jambo wakati wa kikao chake na wawakilishi wa Ubalozi wa
Uingereza nchini Ta...
3 hours ago
0 Comments