MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim na Mwakilishi wa Jimbo hilo Rukia Omar Mapuri pamoja na madiwani wa wadi za jimbo hilo, wakikabidhi mabati ya kuezeka Maskani ya CCM ya Mjengoni iliyopo Banda la Mkaa Amani.
MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim na Mwakilishi wa Jimbo hilo Rukia Omar Mapuri pamoja na madiwani wa wadi za jimbo hilo wakikabidhi vifaa mbali mbali kwa madrassa hizo.
MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim akizungumza na wananchi wa jimbo hilo(hawapo pichani) katika ziara yake ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/2025.
MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim na Mwakilishi wa Jimbo hilo Rukia Omar Mapuri pamoja na madiwani wa wadi za jimbo hilo wakikabidhi jezi kwa timu za jimbo hilo.
UNDP, Serikali ya Uingereza Yawakutanisha Viongozi wa Vyuo Vikuu Kuchochea
Ubunifu na Ujasiriamali Zanzibar
-
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), kwa ushirikiano
na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Chuo cha Indian Institute of
Te...
40 minutes ago
0 Comments