Waziri wa Utalii na Mali Asili Tanzania Mh Mohammed Omar Mchengerwa akishuhudia utiaji saini wa MoU ya ushirikiano baina ya Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ambapo kwa upande wa ZCT Amesaini Bi Aviwa Issa Makame ambae ni Kaimu Katibu Mtendaji na kwa upande wa TTB amesaini Bw Damasi Mfugale DG TTB. Tukio hilo limefanyika jijini Arusha katika ukumbi wa AICC mara tu baada uzinduzi wa bodi za TANAPA NA TTB.
SERIKALI YAOMBWA KUTAZAMA UPYA GHARAMA ZA USAJILI NA KODI KWA ONLINE MEDIA
-
Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari
mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri.
Ombi hilo l...
1 hour ago

0 Comments