Mshambuliaji wa Timu ya KVZ akiwapita mabeki wa Timu ya Mlandege wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya 0-0.
DKT. MAULID ASISITIZA ITIFAKI NA TABIA NJEMA KWA VIONGOZI WA ELIMU
-
Mkutano Mkuu wa 12 wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri
Tanzania Bara (REDEOA) umeendelea kufanyika jijini Arusha kwa siku saba
tangu ulipofun...
5 hours ago











0 Comments