Mchezaji wa Timu ya Kipanga akiwapita mebeki wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
1 hour ago








0 Comments