Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za
Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao. (Tarehe
31 Oktoba 2023 Dodoma)
Michezo : Mwakinyo Amchapa Mnigeria kwa KO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
BONDIA wa Kimataifa Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuibuka mshindi
wa pambano lake dhidi ya mpinzani wake Mniger...
54 minutes ago

0 Comments