6/recent/ticker-posts

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mhandisi Hamadi Masauni, bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2024.  Katikati ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments