Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Bi.
Doleta Minya kilichotokea tarehe 09 Julai 2024. Makamu wa Rais ametoa pole hizo
wakati alipoitembelea familia ya marehemu akiwa Kijiji Kasumo Wilaya ya Buhigwe
mkoani Kigoma tarehe 11 Julai 2024.
MAKAMU WA PILI WA RAIS KUZINDUA MASHINDANO YA QUR’AAN
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla,
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano makubwa zaidi ya
Qur’...
29 minutes ago


0 Comments