Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Gates Foundation Bw. Mark Suzman yaliyofanyika kwa njia ya mtandao (Video Call) tarehe 10 Julai, 2024. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Taasisi hiyo na kujadili maeneo mengine ya ushirikiano ikiwemo katika masuala ya afya, kilimo, uwezeshwaji wanawake kiuchumi, uchumi jumuishi, Elimu na matumizi ya akili bandia (AI) katika maeneo tajwa.
BoT YADUMISHA RIBA YA BENKI KUU ASILIMIA 5.75 KWA ROBO YA KWANZA 2026
-
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeamua kuendelea na
kiwango cha Riba ya Benki Kuu (Central Bank Rate – CBR) cha asilimia 5.75
kwa r...
32 minutes ago

0 Comments