Innalilahiwainnailayhiraajiuun Mzee Amour Khalfan aliyewahi kuwa Radio Zanzibar ametangulia mbele ya haki Allah amsameh makosa yake na ampe qauli thabit na awaoe subira kubwa sana wana familia wote na sisi atupe mwisho mwema.Amiin.
Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu
Kassim Majaliwa
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim
Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigu...
5 hours ago

0 Comments