Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing
Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi
na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) tarehe 03,Septemba 2024.




0 Comments