Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuwakilisha Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakati Rais wa Zimbabwe Emmerson Dambudzo Mnangagwa ambae kwa sasa ni Mwenyekiti wa SADC alipofunga Mkutano wa Viongozi Wakuu na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini Mwa Afrika SADC uliofanyika katika Bunge la Zimbabwe Jijini Harare.
DKT. MAULID ASISITIZA ITIFAKI NA TABIA NJEMA KWA VIONGOZI WA ELIMU
-
Mkutano Mkuu wa 12 wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri
Tanzania Bara (REDEOA) umeendelea kufanyika jijini Arusha kwa siku saba
tangu ulipofun...
7 hours ago




0 Comments