Inna lilahi wainna ilayhi raajiuun. Haji Kimara ametangulia mbele ya haki.Allah ampe Qauli thabit na amsameh makosa yake.Haji Aliwahi kuchezea timu ya Small Simba wakati ule wa Moto Small.Na aliwahi kuchezea timu ya Kikwajuni
CHANDE ASISITIZA MASHIRIKIANO NA UBUNIFU KUKUZA SEKTA YA MALIKALE
-
Na Saidi Lufune, Dodoma
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb),
amehimiza Idara ya Maliakale kuongeza ubunifu katika kutangaz...
8 minutes ago

0 Comments