RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kumjulia hali yake Mzee wa Chama Cha Mapinduzi Haji Machano
alipofika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Lumumba kuwatembelea wagonjwa mbalimbali, waliolazwa
katika Hospitali hiyo ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 6-12-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Mzee wa Chama Cha Mapinduzi Haji Machano alipofika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibu Lumumba kuwatembelea wagonjwa mbalimbali, waliolazwa katika Hospitali hiyo ya Mkoa ya Mjini Magharibi Unguja leo 6-12-2024.
WANAWAKE TTCL WAWASAIDIA WATOTO WAGONJWA WA MOYO JKCI
-
*Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa
na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto - JKCI, Dk.
Naizihijwa Majan...
5 hours ago

0 Comments