RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ni mgeni rasmin katika Mahafali ya 24 ya
Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, akisalimiana na Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa
Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho
kwa ajili ya Mahafali yaliyofanyika leo 25-1-2025.
KIKAO KAZI CHA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS NA MAAFISA HABARI WA
SERIKALI LEO
-
Mshauri wa Rais Masuala ya Habari na Mawasiliano Ndugu Tido Mhando
akizungumza katika Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya
Rais na Maafi...
6 minutes ago

















0 Comments