RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya makaburi ya Mwanakwerekwe
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria maziko ya Marehemu Charles Martin
Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa
Serikali yaliyofanyika leo 14-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
WANAWAKE TTCL WAWASAIDIA WATOTO WAGONJWA WA MOYO JKCI
-
*Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa
na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto - JKCI, Dk.
Naizihijwa Majan...
5 hours ago











0 Comments