Shamrashamra za ufungaji wa mkutano ya Kampeni wa Chama Cha Mapiduzi (CCM) za Ubunge,Uwakilishi na Udiwani Jimbo la Chumbuni Zanzibar , kwa onesho la Utamaduni wa Zanzibar, ufungaji huo wa mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa Avenja leo 25-10-2025.
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
5 hours ago

0 Comments