6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Zanzibar Kati ya KMKM na Polisi Mchezo Uliyofanyika Uwanja Mao Zedungu Timu ya KMKM Imeshinda Bao 2-0

Mchezaji wa Timu ya KMKM akijiandaa kuzuima mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0. 
Mchezaji wa Timu ya KMKM na Polisi wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 mchezo uliofanyika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.




 

Post a Comment

0 Comments