6/recent/ticker-posts

Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka afungua Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali

Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Bw. Bakari Machumu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es Salaam.


Mshauri wa Rais wa Masuala ya Habari na Mawasiliano, Bw. Tido Mhando akifuatilia uwasilishwaji wa mada katika Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es Salaam

Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali walioshiriki Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es Salaam
 


Post a Comment

0 Comments