6/recent/ticker-posts

Ligi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja Kati ya Mpendae na Millenium Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Mpendae Imeshinda Mchezo Huo Kwa Vikapu 60-48

Mchezaji wa Timu ya Kikapu ya Mpendae akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Millenium wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Mpendae iumeshinda mchezo huo kwa Vikapu 60-48. 









Post a Comment

0 Comments