6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Zanzibar Kati ya Polisi na Junguni Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu hizi Zimetoka Sare ya 0-0

Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akiwapita mabeki wa Timu ya Junguni katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Katima mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana. 





 

Post a Comment

0 Comments