Mchezaji wa Timu ya African Magic akijianda kumpita mchezaji wa Timu ya Nyuki katika mchezo wao wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja iliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya African Magic imeshinda mchezo huo kwa Vikapi 74 -65.






0 Comments